Colossians 3:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uhai wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Masihi, aliye uzima wenu, atakapofunuliwa, ndipo nanyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kristo ndiye utu wenu mpya sasa, na atakaporudi mtashiriki katika utukufu wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Uzima wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uhai wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Kristo atakapotokea yeye aliye uzima wenu ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Al-Masihi, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uhai wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo Kristo aliye uzima wenu atakapofunuliwa, ndipo, nanyi mtakapofunuliwa pamoja naye kuwa wenye utukufu.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kristo ndiye uzima wenu wa kweli, naye atakapoonekana tena, basi ninyi mutaonekana pamoja naye katika utukufu wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kristo atakapoonekana, aliye uzima wetu, ndipo na ninyi mtaonekana pamoja nae katika utukufu.