Colossians 3:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu ataionyesha hasira yake kwa wale wasiomtii, kwa sababu ya maovu wanayotenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mwenyezi Mungu inakuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya mambo hayo makali ya Mungu hutokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ya makosa haya, kasirani ya Mungu itawaangukia wale wanaomwasi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa ajili ya hayo ghadhabu ya Mungu huwafikia wana wa kuasi.