Colossians 3:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiambiane uongo, kwani nyinyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msiambiane uongo ninyi kwa ninyi. Ninyi mmeyavua mavazi ya kale; utu wa kale mliokuwa nao na matendo mabaya mliyotenda hapo awali.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msiambiane uongo, kwani ninyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiambiane uongo, kwani nyinyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiambiane uongo kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiambiane uongo, kwani nyinyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiambiane yaliyo ya uwongo! Mvueni mtu wenu wa kale pamoja na matendo yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiambiane uongo ninyi kwa ninyi, kwa maana mumeondoa utu wenu wa zamani pamoja na matendo yake
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Msiambiane uwongo, kwa kuwa mmemvua mtu wa kale, pamoja na matendo yake,