Colossians 4:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naweza kushuhudia kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu na kwa ajili ya watu wa Laodikea na Hierapoli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninashuhudia kumhusu kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, na kwa ajili ya ndugu wa Laodikia na wale wa Hierapoli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili ya hao walioko Laodikia, na kwa ajili ya hao walioko Hierapoli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninafahamu kwamba amefanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu ninyi na kwa ajili ya watu wa Laodikia na Hierapoli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naweza kushuhudia kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu na kwa ajili ya watu wa Laodikea na Hierapoli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naweza kushuhudia kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu na kwa ajili ya watu wa Laodikea na Hierapoli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninashuhudia kwa ajili yake kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu na kwa ajili ya ndugu wa Laodikia na wale wa Hierapoli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninashuhudia kumhusu kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, na kwa ajili ya ndugu wa Laodikia na wale wa Hierapoli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili ya hao walioko Laodikia, na kwa ajili ya hao walioko Hierapoli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naweza kushuhudia kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu na kwa ajili ya watu wa Laodikea na Hierapoli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani namshuhudia kwamba: Hujisumbua sana kwa ajili yenu na kwa ajili yao walioko Laodikia na Hierapoli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili ya hao walioko Laodikia, na kwa ajili ya hao walioko Hierapoli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaweza kushuhudia juu yake kwamba anajisumbua sana kwa ajili yenu na kwa ajili ya wandugu wa Laodikia na wa Hierapoli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili yao walio katika Laodikia, na kwa ajili yao walio katika Hieropoli.