Colossians 4:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Luka, daktari wetu mpenzi, na Dema, wanawasalimuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rafiki yetu mpendwa, Luka yule tabibu, pamoja na Dema, wanawasalimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Luka, yule tabibu mpendwa, na Dema, wanawasalimu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pokeeni pia salamu kutoka kwa Dema na kutoka kwa rafiki yetu mpendwa Luka ambaye ni tabibu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Luka, daktari wetu mpenzi, na Dema, wanawasalimuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Luka, daktari wetu mpenzi, na Dema, wanawasalimuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rafiki yetu mpenzi Luka, yaani, yule tabibu, pamoja na Dema, wanawasalimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rafiki yetu mpenzi Luka yule tabibu, pamoja na Dema, wanawasalimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Luka, yule tabibu mpendwa, na Dema, wanawasalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Luka, daktari wetu mpenzi, na Dema, wanawasalimuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Luka aliye mganga mpendwa na Dema wanawasalimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Luka, yule tabibu mpendwa, na Dema, wanawasalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Luka, muganga wetu mupendwa na Dema wanawasalimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Luka, yule tabibu mpendwa, awasalimu, na Dema.