Colossians 4:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri wakati mlio nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Iweni na hekima kwa namna mnavyochukuliana pamoja na wale wasioamini. Tumieni muda wenu vizuri kadri mwezavyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri kila nafasi mliyo nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri wakati mlio nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iweni na hekima jinsi mnavyoenenda mbele yao wale walio nje, mkiutumia vizuri wakati wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri wakati mlio nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walioko nje waendeeni kwa werevu wa kweli! Siku mlizopewa, mzitumie vema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukuwe na mwenendo wa hekima mbele ya watu wanaokuwa wa inje ya kanisa, mukitumia vema kila wakati munaoupata.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Enendeni kwa hekima mbele vao walio nje, mkiukomboa wakati.