Colossians 4:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiyo maana ninamtuma, ili aichangamshe mioyo yenu kwa kuwaambieni habari zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimemtuma kwenu kwa lengo maalum la kuwafahamisha hali yetu, na pia awatie moyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambaye nimemtuma kwenu kwa sababu iyo hiyo, ili mjue mambo yetu, naye akawafariji mioyo yenu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hii ndiyo sababu ninamtuma, ninataka mfahamu hali yetu, na ninamtuma awatie moyo ninyi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndiyo maana namtuma, ili aichangamshe mioyo yenu kwa kuwaambieni habari zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiyo maana ninamtuma, ili aichangamshe mioyo yenu kwa kuwaambieni habari zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimemtuma kwenu kwa madhumuni haya ili kwamba mpate kufahamu hali yetu na pia awatie moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimemtuma kwenu kwa madhumuni haya ili mpate kufahamu hali yetu, na pia awatie moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambaye nimemtuma kwenu kwa sababu hiyo hiyo, ili mjue mambo yetu, naye akawafariji mioyo yenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiyo maana ninamtuma, ili aichangamshe mioyo yenu kwa kuwaambieni habari zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nimemtuma kwenu kwa ajili ya neno lili hili, mpate kuyatambua mambo yetu, naye ataituliza mioyo yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambaye nimemtuma kwenu kwa sababu iyo hiyo, ili mjue mambo yetu, naye akawafariji mioyo yenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kwa shabaha hiyo ninamutuma kwenu apate kuwajulisha habari zetu na kuwafariji.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ambae nimemtuma kwenu kwa sababu hiyo hiyo, ajue mambo yenu, akawafariji mioyo yenu;