Daniel 1:12 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tafadhali utujaribu, sisi watumishi wako kwa muda wa siku kumi kwa kutupa mboga za majani na maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tafadhali wajaribu watumishi wako kwa siku kumi. Usitupe chochote ila nafaka na mboga za majani tule, na maji ya kunywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mtama tule, na maji tunywe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tafadhali utujaribu, sisi watumishi wako kwa muda wa siku kumi kwa kutupa mboga za majani na maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tafadhali wajaribu watumishi wako kwa siku kumi. Usitupe cho chote ila nafaka na mboga za majani tule na maji ya kunywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tafadhali wajaribu watumishi wako kwa siku kumi. Usitupe chochote ila nafaka na mboga za majani tule, na maji ya kunywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tafadhali utujaribu sisi watumwa wako siku kumi tu, tupate maboga tu ya kula na maji tu ya kunywa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mtama tule, na maji tunywe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tafazali utujaribu, sisi watumishi wako kwa muda wa siku kumi kwa kutupatia mboga za majani na maji.