Daniel 1:14 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mlinzi akakubaliana nao, akawajaribu kwa muda wa siku kumi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi akakubali jambo hili, akawajaribu kwa siku kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akawasikiliza katika jambo hilo, akawajaribu siku kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mlinzi akakubaliana nao, akawajaribu kwa muda wa siku kumi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi akakubali jambo hili akawajaribu kwa siku kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi akakubali jambo hili, akawajaribu kwa siku kumi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaitikia neno hili, akawajaribu siku kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akawasikiliza katika jambo hilo, akawajaribu siku kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulinzi akakubaliana nao, akawajaribu kwa muda wa siku kumi.