Daniel 1:16 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, yule mlinzi akawaacha waendelee kula mboga za majani badala ya chakula cha fahari na divai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo mlinzi wao akaondoa chakula chao na divai yao waliopangiwa kula na kunywa, akawapa nafaka na mboga za majani badala yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yule msimamizi akaiondoa posho yao ya chakula, na ile divai waliyopewa wanywe, akawapa mtama tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, yule mlinzi akawaacha waendelee kula mboga za majani badala ya chakula cha fahari na divai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo mlinzi wao akaondoa chakula chao na divai yao waliopangiwa kula na kunywa akawapa nafaka na mboga za majani badala yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo mlinzi wao akaondoa chakula chao na divai yao waliopangiwa kula na kunywa, akawapa nafaka na mboga za majani badala yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtunza mvinyo alipoviacha vile vilaji vya urembo na mvinyo, walizopewa za kunywa, akawapa maboga tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yule msimamizi akaiondoa posho yao ya chakula, na ile divai waliyopewa wanywe, akawapa mtama tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, yule mulinzi akawaacha waendelee kula mboga za majani pahali pa chakula na divai walioamuriwa.