Daniel 1:18 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muda ulipotimia ambapo hao vijana wangepelekwa kwa mfalme kama alivyokuwa ameagiza, yule towashi mkuu akawapeleka vijana wote mbele ya Nebukadneza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwisho wa muda uliowekwa na mfalme ili kuwaingiza kwake, mkuu wa maafisa akawaleta mbele ya Mfalme Nebukadneza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata mwisho wa siku zile alizoziagiza mfalme za kuwaingiza, mkuu wa matowashi akawaingiza mbele ya mfalme Nebukadreza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muda ulipotimia ambapo hao vijana wangepelekwa kwa mfalme kama alivyokuwa ameagiza, yule towashi mkuu akawapeleka vijana wote mbele ya Nebukadneza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwisho wa muda uliowekwa na mfalme kuwaingiza kwake, mkuu wa maafisa akawaleta mbele ya Mfalme Nebukadneza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwisho wa muda uliowekwa na mfalme kuwaingiza kwake, mkuu wa maafisa akawaleta mbele ya Mfalme Nebukadneza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilipokwisha pita, mfalme alizoziweka za kuwapeleka kwake, mkuu wa watumishi wa nyumbani akawapeleka kwake Nebukadinesari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata mwisho wa siku zile alizoziagiza mfalme za kuwaingiza, mkuu wa matowashi akawaingiza mbele ya mfalme Nebukadreza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muda ulipotimia ambapo wale vijana wangepelekwa kwa mufalme kama alivyokuwa ameagiza, yule mukubwa akawapeleka vijana wote mbele ya Nebukadneza.