Daniel 1:21 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Danieli alidumu katika huduma ya ikulu mpaka mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Danieli akabaki huko hadi mwaka wa kwanza wa utawala wa Mfalme Koreshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, Danieli huyo akadumu huko hata mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Danieli alidumu katika huduma ya ikulu mpaka mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Danieli akabaki huko mpaka mwaka wa kwanza wa kutawala kwake Mfalme Koreshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Danieli akabaki huko mpaka mwaka wa kwanza wa utawala wa Mfalme Koreshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Danieli akawapo hata mwaka wa kwanza wa mfalme Kiro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, Danieli huyo akadumu huko hata mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Danieli alidumu katika kazi ya nyumba ya mufalme mpaka mwaka wa kwanza wa utawala wa mufalme Kiro.