Daniel 1:6 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miongoni mwa vijana waliochaguliwa walikuwa Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria, wote wa kabila la Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya hawa vijana walitoka Yuda: Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi katika hao walikuwapo baadhi ya wana wa Yuda, Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miongoni mwa vijana waliochaguliwa walikuwa Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria, wote wa kabila la Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miongoni mwa hawa vijana baadhi walikuwa kutoka Yuda: Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya hawa vijana walitoka Yuda: nao ni Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika hao wana wa Kiyuda walikuwamo Danieli na Hanania na Misaeli na Azaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi katika hao walikuwapo baadhi ya wana wa Yuda, Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya vijana waliochaguliwa kulikuwa Danieli, Hanania, Misaeli na Azaria, wote wa kabila la Yuda.