Daniel 10:14 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nami nimekuja kukusaidia uyafahamu mambo yatakayowapata watu wako wakati ujao, kwani maono uliyoona yanahusu wakati ujao.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa nimekuja kukuelezea mambo yatakayowatokea watu wako wakati ujao, kwa maana maono hayo yanahusu wakati ambao haujaja bado.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa nimekuja kukufahamisha mambo yatakayowapata watu wako katika siku za mwisho; maana maono hayo ni ya siku nyingi bado.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nami nimekuja kukusaidia uyafahamu mambo yatakayowapata watu wako wakati ujao, kwani maono uliyoona yanahusu wakati ujao.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa nimekuja kukueleza mambo yatakayowatokea watu wako wakati ujao, kwa maana maono hayo yanahusu wakati ambao haujaja bado.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa nimekuja kukuelezea mambo yatakayowatokea watu wako wakati ujao, kwa maana maono hayo yanahusu wakati ambao haujaja bado.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nimekuja, nikutambulishe, yatakayowapata walio ukoo wako siku za mwisho; kwani ono hili ni la siku zisizotimia bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa nimekuja kukufahamisha mambo yatakayowapata watu wako katika siku za mwisho; maana maono hayo ni ya siku nyingi bado.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nami nimekuja kukusaidia upate kuyafahamu mambo yatakayowapata watu wako wakati unaokuja, maana maono uliyoona yanaelekea wakati unaokuja.