Daniel 10:15 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Alipokuwa ananiambia maneno hayo, niliangalia chini bila kuweza kuongea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa akiniambia haya, nilisujudu, uso wangu ukigusa chini, nikawa bubu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alipokwisha kusema nami maneno hayo, nikauelekeza uso wangu chini, nikawa bubu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Alipokuwa ananiambia maneno hayo, niliangalia chini bila kuweza kuongea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati alipokuwa akinieleza haya, nilisujudu uso wangu ukiwa umeelekea chini nikawa bubu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa akinielezea haya, nilisujudu uso wangu ukiwa umeelekea chini, nikawa bubu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliponiambia maneno haya, nikauelekeza uso wangu chini, maana sikuweza kusema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipokwisha kusema nami maneno hayo, nikauelekeza uso wangu chini, nikawa bubu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokuwa ananiambia maneno hayo, niliangalia chini bila kuweza kusema.