Daniel 10:18 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Yule mmoja aliyeonekana kama mwanaadamu akanigusa kwa mara nyingine, akanitia nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena yule aliyeonekana kama mwanadamu akanigusa na kunitia nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mmoja mfano wa mwanadamu akanigusa tena, akanitia nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Yule mmoja aliyeonekana kama mwanaadamu akanigusa kwa mara nyingine, akanitia nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena yule aliyeonekana kama mwanadamu akanigusa na kunitia nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena yule aliyeonekana kama mwanadamu akanigusa na kunitia nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yeye aliyefanana na mtu aliponigusa tena, akanitia nguvu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mmoja mfano wa mwanadamu akanigusa tena, akanitia nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule aliyeonekana kama mwanadamu akanigusa kwa mara ingine, akanitia nguvu.