Daniel 10:2 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati huo, mimi Danieli, nilikuwa nikiomboleza kwa muda wa majuma matatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo, mimi Danieli nikaomboleza kwa majuma matatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika siku zile mimi, Danieli, nalikuwa nikiomboleza muda wa majuma matatu kamili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati huo, mimi Danieli, nilikuwa nikiomboleza kwa muda wa majuma matatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo, mimi Danieli, nikaomboleza kwa majuma matatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo, mimi Danieli nikaomboleza kwa majuma matatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile mimi Danieli nilikuwa nikikaa matanga siku za majuma matatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika siku zile mimi, Danieli, nalikuwa nikiomboleza muda wa majuma matatu kamili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huo, mimi Danieli, nilikuwa nikiomboleza kwa muda wa majuma matatu.