Daniel 10:3 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikula chakula cha fahari, sikugusa nyama wala divai, na sikujipaka mafuta kwa muda wa majuma hayo yote matatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikula chakula kizuri; nyama wala divai havikugusa midomo yangu; nami sikujipaka mafuta kamwe hadi majuma matatu yalipotimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikula chakula kitamu, wala nyama wala divai haikuingia kinywani mwangu, wala sikujipaka mafuta kabisa, hata majuma matatu kamili yalipotimia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikula chakula cha fahari, sikugusa nyama wala divai, na sikujipaka mafuta kwa muda wa majuma hayo yote matatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikula chakula kizuri, nyama wala divai havikugusa midomo yangu, nami sikujipaka mafuta kamwe mpaka majuma matatu yalipotimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikula chakula kizuri; nyama wala divai havikugusa midomo yangu; nami sikujipaka mafuta kamwe mpaka majuma matatu yalipotimia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikula chakula kilichopendeza, wala nyama, wala mvinyo haikuingia kinywani mwangu, wala sikujipaka mafuta, mpaka siku za majuma matatua ziishe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikula chakula kitamu, wala nyama wala divai haikuingia kinywani mwangu, wala sikujipaka mafuta kabisa, hata majuma matatu kamili yalipotimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikukula chakula kizuri, sikugusa nyama wala divai, na sikujipakaa mafuta kwa muda wa majuma hayo yote matatu.