Daniel 10:4 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya mto Tigri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kwenye ukingo wa mto mkubwa Hidekeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa kando ya ule mto mkubwa, Hidekeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya mto Tigri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa nimesimama kwenye ukingo wa mto mkubwa Hidekeli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa nimesimama kwenye ukingo wa mto mkubwa Hidekeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza mimi Danieli nilikuwa penye ukingo wa jito kubwa, nalo ndilo Hidekeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa kando ya ule mto mkubwa, Hidekeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya makumi mbili na ine ya mwezi wa kwanza, nilikuwa nimesimama kando ya muto Tigre.