Daniel 10:5 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikainua macho, nikamwona mtu amevaa mavazi ya kitani na kiunoni amejifunga mkanda wa dhahabu kutoka Ufazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikatazama juu, na mbele yangu palikuwa na mtu aliyevaa mavazi ya kitani na mshipi wa dhahabu safi kutoka Ufazi kiunoni mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naliinua macho yangu, nikatazama, na kumbe, mtu aliyevikwa nguo za kitani, viuno vyake vimefungwa dhahabu safi ya Ufazi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikainua macho, nikamwona mtu amevaa mavazi ya kitani na kiunoni amejifunga mkanda wa dhahabu kutoka Ufazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nikatazama juu na mbele yangu alikuwapo mtu aliyevaa mavazi ya kitani na mshipi wa dhahabu safi kutoka ufazi kiunoni mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nikatazama juu, na mbele yangu alikuwepo mtu aliyevaa mavazi ya kitani na mshipi wa dhahabu safi kutoka ufazi kiunoni mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoyainua macho yangu na kutazama, mara nikaona mwanamume mmoja aliyevaa nguo nyeupe ya ukonge, namo viunoni pake alikuwa amefunga mshipi wa dhahabu ya Ufazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naliinua macho yangu, nikatazama, na kumbe, mtu aliyevikwa nguo za kitani, viuno vyake vimefungwa dhahabu safi ya Ufazi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikainua macho, nikamwona mutu anayevaa nguo za kitani naye alikuwa amejifunga mukaba wa zahabu safi kutoka Ufasi.