Daniel 10:7 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Danieli peke yangu niliona maono hayo. Wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini walishikwa na hofu sana, wakakimbia, wakajificha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni mimi Danieli peke yangu niliyeona hayo maono; watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini waligubikwa na hofu kuu, hata wakakimbia na kujificha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami, Danieli, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Danieli peke yangu niliona maono hayo. Wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini walishikwa na hofu sana, wakakimbia, wakajificha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi Danieli, nilikuwa ni mimi peke yangu niliyeona hayo maono, watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini waligubikwa na hofu kuu wakakimbia na kujificha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi Danieli, ni mimi peke yangu niliyeona hayo maono; watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini waligubikwa na hofu kuu, hata wakakimbia na kujificha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi Danieli nikayaona peke yangu hayo yaliyooneka hapo, lakini mwenzangu waliokuwa nami hawakuyaona hayo kwa kupigwa na bumbuazi kabisa; ndipo, walipokimbia, wajifiche.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami, Danieli, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi Danieli peke yangu niliona maono hayo. Wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini walishikwa na hofu sana, wakakimbia, wakajificha.