Daniel 10:9 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilipoisikia sauti yake, nilianguka chini kifudifudi, nikashikwa na usingizi mzito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikamsikia akisema, nami nilipokuwa nikimsikiliza, nikapatwa na usingizi mzito, nikalala kifudifudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini naliisikia sauti ya maneno yake; nami niliposikia sauti ya maneno yake, ndipo nikashikwa na usingizi mzito, na uso wangu umeielekea nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipoisikia sauti yake, nilianguka chini kifudifudi, nikashikwa na usingizi mzito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nikamsikia akisema, nami nilipokuwa nikimsikiliza, nikalala kifudifudi nikapatwa na usingizi mzito.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nikamsikia akisema, nami nilipokuwa nikimsikiliza, nikalala kifudifudi, nikapatwa na usingizi mzito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasika sauti ya maneno yake, tena papo hapo, nilipoisikia sauti ya maneno yake, nikashikwa na usingizi kabisa, nikaanguka kifudifudi, uso wangu ukaelekea chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini naliisikia sauti ya maneno yake; nami niliposikia sauti ya maneno yake, ndipo nikashikwa na usingizi mzito, na uso wangu umeielekea nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipoisikia sauti yake, nilianguka uso mpaka chini, nikashikwa na usingizi muzito.