Daniel 11:1 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“ ‘Lakini kwa upande wangu mimi, katika mwaka wa kwanza wa mfalme Dario Mmedi, nilijitoa kumthibitisha na kumtia nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario Mmedi, nilisimama kumsaidia na kumlinda.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mimi, katika mwaka wa kwanza wa Dario, Mmedi, mimi nalisimama nimthibitishe na kumtia nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“‘Lakini kwa upande wangu mimi, katika mwaka wa kwanza wa mfalme Dario Mmedi, nilijitoa kumthibitisha na kumtia nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake Dario, Mmedi, nilisimama kumsaidia na kumlinda.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario Mmedi, nilisimama kumsaidia na kumlinda.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nami nalisimama upande wake katika mwaka wa kwanza wa Mmedi Dario, nikamsaidia kwa kumtia nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mimi, katika mwaka wa kwanza wa Dario, Mmedi, mimi nalisimama nimthibitishe na kumtia nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kwa upande wangu mimi, katika mwaka wa kwanza wa utawala wa mufalme Dario wa Wamedi, nilijitoa kwa kumuimarisha na kumutia nguvu.