Daniel 11:19 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo atageuka kurudi katika ngome za nchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka vitani na huo ndio utakaokuwa mwisho wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya hili atazigeukia ngome za nchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka, wala hataonekana tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo atauelekeza uso wake kwenye ngome za nchi yake mwenyewe; lakini atajikwaa na kuanguka, wala hataonekana tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo atageuka kurudi katika ngome za nchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka vitani na huo ndio utakaokuwa mwisho wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya hili atazigeukia ngome za nchi yake mwenyewe lakini atajikwaa na kuanguka, wala hataonekana tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya hili atazigeukia ngome za nchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka, wala hataonekana tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha atauelekeza uso wake kwenda kuiteka miji yenye maboma katika nchi yake; ndipo, atakapojikwaa na kuanguka, asionekane tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo atauelekeza uso wake kwenye ngome za nchi yake mwenyewe; lakini atajikwaa na kuanguka, wala hataonekana tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu atageuka kurudi katika kuta za inchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka katika vita na huo ndio utakaokuwa mwisho wake.