Daniel 11:22 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majeshi pamoja na kuhani wa hekalu, atawafagilia mbali na kuwaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo jeshi kubwa litafagiliwa mbele yake; jeshi pamoja na mkuu mmoja wa agano wataangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale wenye silaha mfano wa gharika watagharikishwa mbele yake, na kuvunjika, naam, mkuu wa maagano pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majeshi pamoja na kuhani wa hekalu, atawafagilia mbali na kuwaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo jeshi kubwa litafagiliwa mbele yake, jeshi pamoja na mkuu wa agano wataangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo jeshi kubwa litafagiliwa mbele yake; jeshi pamoja na mkuu mmoja wa agano wataangamizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wale wenye mikono ya nguvu waliokuja kumfurikia watafurikiwa naye na kuvunjwa, vilevile naye mkuu aliyefanya maagano naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale wenye silaha mfano wa gharika watagharikishwa mbele yake, na kuvunjika, naam, mkuu wa maagano pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makundi ya waaskari pamoja na kuhani wa hekalu wataangamizwa na kuwaua.