Daniel 11:23 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kufanya mapatano, atayahadaa mataifa mengine, na ataendelea kupata nguvu ingawa atatawala taifa dogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kufanya mapatano naye, atatenda kwa udanganyifu, na ataingia madarakani akitumia watu wachache tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada ya maagano atatenda kwa hila; maana atapanda, naye atakuwa hodari pamoja na watu wadogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kufanya mapatano, atayahadaa mataifa mengine, na ataendelea kupata nguvu ingawa atatawala taifa dogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kufanya mapatano naye, atatenda kwa udanganyifu, pamoja na watu wachache tu ataingia madarakani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kufanya mapatano naye, atatenda kwa udanganyifu, na akitumia watu wachache tu ataingia madarakani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo atakapokwisha kufanya urafiki naye, atamdanganya akimjia na kumshinda, ijapo awe na watu wachache tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada ya maagano atatenda kwa hila; maana atapanda, naye atakuwa hodari pamoja na watu wadogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kufanya mapatano, atayadanganya mataifa mengine, na ataendelea kupata nguvu ingawa atatawala taifa dogo.