Daniel 11:27 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wafalme hao wawili wataketi pamoja mezani kula, lakini kila mmoja anamwazia mwenzake uovu, na kudanganyana. Ila hawatafanikiwa, maana wakati uliopangwa utakuwa bado haujatimia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme hawa wawili, mioyo yao ikiwa imekusudia mabaya, wataketi kwenye meza moja na kudanganyana wao kwa wao, lakini pasipo faida, kwa sababu bado mwisho utakuja katika wakati ulioamriwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika habari za wafalme hao wawili, mioyo yao watanuia kutenda madhara, nao watasema uongo walipo pamoja mezani; lakini hilo halitafanikiwa; maana mwisho utatokea wakati ulioamriwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wafalme hao wawili wataketi pamoja mezani kula, lakini kila mmoja anamwazia mwenzake uovu, na kudanganyana. Ila hawatafanikiwa, maana wakati uliopangwa utakuwa bado haujatimia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme hawa wawili, mioyo yao ikiwa imekusudia mabaya wataketi kwenye meza moja na kudanganyana wao kwa wao, lakini pasipo faida, kwa sababu bado mwisho utakuja katika wakati ulioamuriwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme hawa wawili, mioyo yao ikiwa imekusudia mabaya, wataketi kwenye meza moja na kudanganyana wao kwa wao, lakini pasipo faida, kwa sababu bado mwisho utakuja katika wakati ulioamriwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hao wafalme wawili wataielekeza mioyo yao kufanyiana mabaya, wataambiana maneno ya uwongo wakikaa mezani pamoja, lakini hawatafanikiwa, kwani mwisho utakuja siku zilezile zilizokwisha kukatwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika habari za wafalme hao wawili, mioyo yao watanuia kutenda madhara, nao watasema uongo walipo pamoja mezani; lakini hilo halitafanikiwa; maana mwisho utatokea wakati ulioamriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wafalme hao wawili wataikaa kwa meza pamoja, lakini kila mumoja anamuwazia mwenzake uovu, na kudanganyana. Lakini hawatafanikiwa, maana wakati uliopangwa utakuwa bado haujatimia.