Daniel 11:29 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“ ‘Katika wakati uliopangwa ataivamia nchi ya kusini kwa mara nyingine, lakini safari hii, mambo yatakuwa tofauti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakati ulioamriwa, atavamia tena Kusini, lakini wakati huu matokeo yake yatakuwa tofauti na yale ya wakati wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa wakati ulioamriwa atarudi, na kuingia upande wa kusini; lakini wakati wa mwisho mambo hayatakuwa kama yalivyokuwa wakati wa kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“‘Katika wakati uliopangwa ataivamia nchi ya kusini kwa mara nyingine, lakini safari hii, mambo yatakuwa tofauti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika wakati ulioamuriwa atavamia tena Kusini, lakini wakati huu matokeo yake yatakuwa tofauti na yale ya wakati wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati ulioamriwa, atavamia tena Kusini, lakini wakati huu matokeo yake yatakuwa tofauti na yale ya wakati wa kwanza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilizokatwa zitakapotimia, atairudia nchi ya kusini, lakini safari hii ya pili haitakuwa, kama ya kwanza ilivyokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa wakati ulioamriwa atarudi, na kuingia upande wa kusini; lakini wakati wa mwisho mambo hayatakuwa kama yalivyokuwa wakati wa kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika wakati uliopangwa ataishambulia inchi ya kusini kwa mara ingine, lakini mara hii, mambo yatakuwa tofauti.