Daniel 11:33 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye hekima miongoni mwa watu watawafundisha wengi. Hata hivyo, kwa siku kadhaa watauawa kwa upanga au moto, watachukuliwa mateka au kunyanganywa mali zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wenye hekima watawafundisha wengi, ingawa kwa kitambo watauawa kwa upanga au kuchomwa moto, au kukamatwa, au kutekwa nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao walio wenye hekima katika watu watafundisha wengi; hata hivyo wataanguka kwa upanga, na kwa moto, na kwa kufungwa, na kwa kutekwa nyara, siku nyingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye hekima miongoni mwa watu watawafundisha wengi. Hata hivyo, kwa siku kadhaa watauawa kwa upanga au moto, watachukuliwa mateka au kunyang'anywa mali zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wale wenye hekima watawafundisha wengi, ingawa kwa kitambo watauawa kwa upanga au kuchomwa moto, au kukamatwa na kufanywa mateka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wenye hekima watawafundisha wengi, ingawa kwa kitambo watauawa kwa upanga au kuchomwa moto, au kukamatwa au kufanywa mateka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hao wenye ujuzi huo watatambulisha wengine wengi, ijapo waumizwe vibaya siku nyingi kwa panga na kwa mioto na kwa mafungo ya kuhamishwa na kwa kunyang'anywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao walio wenye hekima katika watu watafundisha wengi; hata hivyo wataanguka kwa upanga, na kwa moto, na kwa kufungwa, na kwa kutekwa nyara, siku nyingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye hekima kati ya watu watawafundisha wengi. Hata hivyo, kwa siku chache watauawa kwa upanga au kwa moto, watakamatwa mateka au kunyanganywa mali zao.