Daniel 11:34 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wanapouawa, watapata msaada kidogo, na wengi wanaojiunga nao, watafanya hivyo kwa unafiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakapoanguka, watapokea msaada kidogo, nao wengi wasio waaminifu wataungana nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watakapoanguka, watasaidiwa kwa msaada kidogo; lakini wengi wataambatana nao kwa maneno ya kujipendekeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wanapouawa, watapata msaada kidogo, na wengi wanaojiunga nao, watafanya hivyo kwa unafiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakapoanguka, watapokea msaada kidogo, nao wengi ambao si waaminifu wataungana nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakapoanguka, watapokea msaada kidogo, nao wengi ambao si waaminifu wataungana nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakapoumizwa hivyo watasaidiwa kidogo tu, kwani wengi wataandamana nao kwa kujitendekeza tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watakapoanguka, watasaidiwa kwa msaada kidogo; lakini wengi wataambatana nao kwa maneno ya kujipendekeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wanapouawa, watapata musaada kidogo, na wengi wanaojiunga nao, watafanya hivyo kwa unafiki.