Daniel 11:35 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi ya wenye hekima watauawa, ili wapate kuondolewa uchafu, kutakaswa na kusafishwa, mpaka wakati wa mwisho, ambao sasa bado haujatimia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya wenye hekima watajikwaa, ili waweze kusafishwa, kutakaswa na kufanywa wasio na waa hadi wakati wa mwisho, kwa maana bado litakuja kwa wakati ulioamriwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi yao wenye hekima wataanguka, ili kuwatakasa, na kuwasafisha, na kuwafanya weupe, hata wakati wa mwisho; kwa maana ni kwa wakati ulioamriwa, ambao haujaja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi ya wenye hekima watauawa, ili wapate kuondolewa uchafu, kutakaswa na kusafishwa, mpaka wakati wa mwisho, ambao sasa bado haujatimia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya wenye hekima watajikwaa, ili kwamba waweze kusafishwa, kutakaswa na kufanywa wasio na waa mpaka wakati wa mwisho, kwa maana bado litakuja kwa wakati ulioamuriwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya wenye hekima watajikwaa, ili waweze kusafishwa, kutakaswa na kufanywa wasio na waa mpaka wakati wa mwisho, kwa maana bado litakuja kwa wakati ulioamriwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo miongoni mwao hao wenye ujuzi wengine watajikwaa, wapate kuyeyushwa, kusudi watakaswe na kueuliwa, mpaka siku za mwisho zitakapotimia, nao utakuja siku zilezile zilizokwisha kukatwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi yao wenye hekima wataanguka, ili kuwatakasa, na kuwasafisha, na kuwafanya weupe, hata wakati wa mwisho; kwa maana ni kwa wakati ulioamriwa, ambao haujaja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamoja kati ya wenye hekima watauawa, kusudi wapate kuondolewa uchafu, kutakaswa na kusafishwa, mpaka wakati wa mwisho, ambao sasa bado haujatimia.
Recommended Reading