Daniel 11:37 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme huyo hataijali miungu ya wazee wake wala yule anayependwa na wanawake. Ataidharau miungu mingine yote, kwani atajiweka kuwa mkuu kuliko kila mmoja wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hataonesha heshima kwa miungu ya baba zake au kwa yule aliyetamaniwa na wanawake, wala hatajali mungu yeyote, bali atajikweza mwenyewe juu yao wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hataijali miungu ya baba zake; wala yeye aliyetamaniwa na wanawake; wala hatamjali mungu awaye yote; maana atajitukuza mwenyewe juu ya wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme huyo hataijali miungu ya wazee wake wala yule anayependwa na wanawake. Ataidharau miungu mingine yote, kwani atajiweka kuwa mkuu kuliko kila mmoja wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hataonyesha heshima kwa miungu ya baba zake au kwa yule aliyetamaniwa na wanawake, wala hatajali mungu ye yote, bali atajikweza mwenyewe juu yao wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hataonyesha heshima kwa miungu ya baba zake au kwa yule aliyetamaniwa na wanawake, wala hatajali mungu yeyote, bali atajikweza mwenyewe juu yao wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo miungu ya baba zake haiangalii, wala mungu wa kike upendezao wanawake, wala mungu wo wote mwingine hamwangalii, kwani anajiwazia kuwa mkuu kuliko yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hataijali miungu ya baba zake; wala yeye aliyetamaniwa na wanawake; wala hatamjali mungu awaye yote; maana atajitukuza mwenyewe juu ya wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme huyo hataijali miungu ya babu zake wala yule anayependwa na wanawake. Ataizarau miungu mingine yote, maana atajiweka kuwa mukubwa kuliko kila mumoja wao.