Daniel 11:41 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataivamia hata nchi ile tukufu na kuua maelfu ya watu. Lakini nchi za Edomu, Moabu na sehemu kubwa ya Amoni, zitaokoka kutoka mikononi mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia ataivamia Nchi ya Kupendeza. Nchi nyingi zitapinduliwa, bali Edomu, Moabu, na viongozi wa Amoni wataokolewa kutoka mkono wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ataingia katika hiyo nchi ya uzuri, na nchi nyingi zitapinduliwa; lakini nchi hizi zitaokolewa na mkono wake, Edomu, na Moabu, na wakuu wa watu wa Amoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataivamia hata nchi ile tukufu na kuua maelfu ya watu. Lakini nchi za Edomu, Moabu na sehemu kubwa ya Amoni, zitaokoka kutoka mikononi mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia ataivamia Nchi ya Kupendeza. Nchi nyingi zitapinduliwa, bali Edomu, Moabu na viongozi wa Amoni wataokolewa kutoka katika mkono wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia ataivamia Nchi ya Kupendeza. Nchi nyingi zitapinduliwa, bali Edomu, Moabu na viongozi wa Amoni wataokolewa kutoka mkono wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ataiingia nayo hiyo nchi yenye utukufu; ndipo, nchi nyingi zitakapoangamizwa; zitakazopona mikoni mwake ni za Edomu na za Moabu na wakuu wao wana wa Amoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ataingia katika hiyo nchi ya uzuri, na nchi nyingi zitapinduliwa; lakini nchi hizi zitaokolewa na mkono wake, Edomu, na Moabu, na wakuu wa watu wa Amoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atashambulia hata inchi ile tukufu na kuua maelfu ya watu. Lakini inchi za Edomu, Moabu na sehemu kubwa ya Amoni, zitaokoka kutoka katika mikono yake.