Daniel 11:42 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati atakapozivamia nchi hizo, hata nchi ya Misri haitanusurika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atapanua mamlaka yake juu ya nchi nyingi; hata Misri haitaepuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye ataunyosha mkono wake juu ya nchi hizo, hata na nchi ya Misri haitaokoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati atakapozivamia nchi hizo, hata nchi ya Misri haitanusurika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atapanua mamlaka yake juu ya nchi nyingi, Misri haitaepuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atapanua mamlaka yake juu ya nchi nyingi; hata Misri haitaepuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ataukunjua mkono wake, aziteke hizo nchi; hapo nchi ya Misri nayo haitapata kupona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye ataunyosha mkono wake juu ya nchi hizo, hata na nchi ya Misri haitaokoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati atakaposhambulia inchi hizo, hata inchi ya Misri haitaponyoka.