Daniel 11:7 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye, mmojawapo wa ukoo wa huyo binti atakuwa mfalme. Huyo atayashambulia majeshi ya mfalme wa kaskazini na kuingia katika ngome zao na kushinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mmoja kutoka jamaa ya huyo binti atainuka na kuchukua nafasi yake. Atashambulia majeshi ya mfalme wa Kaskazini na kuingia katika ngome yake; atapigana dhidi yao, naye atashinda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini katika chipukizi la mizizi yake atasimama mmoja mahali pake atakayeliendesha jeshi la askari, naye ataingia katika ngome ya mfalme wa kaskazini, na kuwatenda mambo, na kuwashinda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye, mmojawapo wa ukoo wa huyo binti atakuwa mfalme. Huyo atayashambulia majeshi ya mfalme wa kaskazini na kuingia katika ngome zao na kushinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mmoja kutoka jamaa ya huyo binti atainuka na kuchukua nafasi yake. Huyo mtu atashambulia majeshi ya mfalme wa Kaskazini na kuingia katika ngome yake, atapigana dhidi yao naye atashinda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mmoja kutoka jamaa ya huyo binti atainuka na kuchukua nafasi yake. Atashambulia majeshi ya mfalme wa Kaskazini na kuingia katika ngome yake; atapigana dhidi yao naye atashinda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha pataondokea mahali pake chipukizi la shina lake; yeye atamwendea mwenye vile vikosi, aingie bomani mwa mfalme wa kaskazini na kumfanyizia vita, nazo nguvu zake zitamshinda yule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini katika chipukizi la mizizi yake atasimama mmoja mahali pake atakayeliendesha jeshi la askari, naye ataingia katika ngome ya mfalme wa kaskazini, na kuwatenda mambo, na kuwashinda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mutoto mumoja wa ukoo wa huyo binti atakuwa mufalme. Huyo atayashambulia makundi ya waaskari wa mufalme wa kaskazini na kuingia katika miji yao yenye kuzungukwa na kuta na kushinda.