Daniel 11:9 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini baadaye, mfalme huyu wa kaskazini atauvamia ufalme wa kusini, ila atalazimika kurudi katika nchi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme wa Kaskazini atashambulia nchi ya mfalme wa Kusini, lakini atarudi hadi kwenye nchi yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye huyo ataingia katika ufalme wa mfalme wa kusini, lakini atarudi mpaka nchi yake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini baadaye, mfalme huyu wa kaskazini atauvamia ufalme wa kusini, ila atalazimika kurudi katika nchi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme wa Kaskazini atashambulia kwa vita mfalme wa Kusini lakini atarudi nyuma hadi kwenye nchi yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme wa Kaskazini atashambulia nchi ya mfalme wa Kusini, lakini atarudi nyuma hadi kwenye nchi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule atakuja, auingie ufalme wa mfalme wa kusini, kisha atarudi katika nchi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye huyo ataingia katika ufalme wa mfalme wa kusini, lakini atarudi mpaka nchi yake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nyuma, mufalme huyu wa kaskazini ataushambulia ufalme wa kusini, kisha atarudi katika inchi yake.
Recommended Reading