Daniel 12:10 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengi wataondolewa uchafu, watatakaswa na kusafishwa. Lakini watu waovu wataendelea kutenda uovu. Hakuna hata mmoja wa hao waovu atakayeelewa; wenye hekima ndio watakaoelewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengi watatakaswa, na kuondolewa mawaa na kufanywa safi, lakini waovu wataendelea kuwa waovu. Hakuna mmoja wa waovu atakayefahamu, lakini wale wenye hekima watafahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakaoelewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengi wataondolewa uchafu, watatakaswa na kusafishwa. Lakini watu waovu wataendelea kutenda uovu. Hakuna hata mmoja wa hao waovu atakayeelewa; wenye hekima ndio watakaoelewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengi watatakaswa na kuondolewa mawaa na kuwa safi, lakini waovu wataendelea kuwa waovu. Hakuna mmoja wa waovu atakayefahamu, lakini wale wenye hekima watafahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengi watatakaswa, na kuondolewa mawaa na kufanywa safi, lakini waovu wataendelea kuwa waovu. Hakuna mmoja wa waovu atakayefahamu, lakini wale wenye hekima watafahamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengi watatakaswa na kueuliwa kwa kuyeyushwa, lakini wasiomcha Mungu watafanya maovu yao. Kwao hao hatakuwako hata mmoja atakayeyatambua hayo; ndio watakaoyatambua ni wao wenye ujuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakaoelewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi wataondolewa uchafu, watatakaswa na kusafishwa. Lakini watu waovu wataendelea kutenda uovu. Hakuna hata mumoja wa hao waovu atakayeelewa; wenye hekima ndio watakaoelewa.