Daniel 12:3 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wenye hekima watangaa kama anga angavu, na wale waliowaongoza wengine kutenda mema, watangaa kama nyota milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wenye hekima watang’aa kama mwanga wa mbingu, nao wale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watang’aa kama nyota milele na milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wenye hekima watang'aa kama anga angavu, na wale waliowaongoza wengine kutenda mema, watang'aa kama nyota milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wenye hekima watang'aa kama mwanga wa mbingu, nao wale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watang'aa kama nyota milele na milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wenye hekima watang’aa kama mwanga wa mbingu, nao wale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watang’aa kama nyota milele na milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wafunzi watakapoangaza kama mwangaza wa mbinguni, nao walioongoza wengi, wapate wongofu, wataangaza kama nyota kale na kale zamani zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walio na hekima watang’aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang’aa kama nyota milele na milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wenye hekima watangaa kama vile anga linavyongaa, na wale waliowaongoza wengine kutenda mema, watangaa kama nyota milele.