Daniel 12:5 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha, mimi Danieli nikatazama, nikaona watu wawili wamesimama penye kingo za mto; mmoja upande huu na mwingine upande wa pili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mimi Danieli nikaangalia, nako mbele yangu walisimama wengine wawili, mmoja katika ukingo huu wa mto, na mwingine ukingo wa pili wa mto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mimi, Danieli, nikatazama, na kumbe, wamesimama wengine wawili, mmoja ukingoni mwa mto upande huu, na mmoja ukingoni mwa mto upande wa pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha, mimi Danieli nikatazama, nikaona watu wawili wamesimama penye kingo za mto; mmoja upande huu na mwingine upande wa pili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mimi Danieli, nikaangalia, nako mbele yangu walisimama wengine wawili, mmoja katika ukingo huu wa mto na mwingine ukingo wa pili wa mto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mimi Danieli nikaangalia, nako mbele yangu walisimama wengine wawili, mmoja katika ukingo huu wa mto, na mwingine ukingo wa pili wa mto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi Danieli nilipotazama nikaona wengine waliosimama hapo, mmoja upande wa huku ukingoni kwa hilo jito, mmoja upande wa huko ukingoni kwa hilo jito.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mimi, Danieli, nikatazama, na kumbe, wamesimama wengine wawili, mmoja ukingoni mwa mto upande huu, na mmoja ukingoni mwa mto upande wa pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, mimi Danieli nikaangalia, nikaona watu wawili wakisimama kwenye ukingo wa muto; mumoja upande huu na mwingine upande wa pili.