Daniel 12:8 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilisikia lakini sikuelewa. Ndipo, nikamwuliza, ‘Bwana wangu, mwisho wa mambo haya yote utakuwaje?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilisikia, lakini sikuelewa. Kwa hiyo nikauliza, “Bwana wangu, matokeo ya haya yote yatakuwa nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikasikia, lakini sikuelewa; ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, mwisho wa mambo haya utakuwaje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilisikia lakini sikuelewa. Ndipo, nikamwuliza, ‘Bwana wangu, mwisho wa mambo haya yote utakuwaje?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilisikia, lakini sikuelewa. Kwa hiyo nikauliza, “Bwana wangu, matokeo ya haya yote yatakuwa nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilisikia, lakini sikuelewa. Kwa hiyo nikauliza, “Bwana wangu, matokeo ya haya yote yatakuwa nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikayasikia mimi, lakini sikuyatambua, nikamwuliza: Bwana wangu, mwisho wa mambo hayo utakuwaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikasikia, lakini sikuelewa; ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, mwisho wa mambo haya utakuwaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilisikia lakini sikuelewa. Halafu, nikamwuliza: Bwana wangu, mwisho wa mambo haya yote utakuwa namna gani?