Daniel 12:9 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akanijibu, ‘Danieli, sasa nenda zako, kwani maneno haya ni siri na yamefungwa kwa kutiwa mhuri mpaka wakati wa mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajibu, “Danieli, nenda zako, kwa sababu maneno haya yamefungwa na kutiwa muhuri hadi wakati wa mwisho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Enenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa muhuri, hata wakati wa mwisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akanijibu, ‘Danieli, sasa nenda zako, kwani maneno haya ni siri na yamefungwa kwa kutiwa mhuri mpaka wakati wa mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajibu, “Danieli, enenda zako, kwa sababu maneno haya yamefungwa na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajibu, “Danieli, enenda zako, kwa sababu maneno haya yamefungwa na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Jiendee, Danieli! Kwani maneno haya yamefungwa na kutiwa muhuri, mpaka siku za mwisho zitakapotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Enenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa muhuri, hata wakati wa mwisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akanijibu: Danieli, ujiendee, maana maneno haya ni siri na yamefungwa kwa kutiwa muhuri juu yake mpaka wakati wa mwisho.