Daniel 2:11 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo unalouliza, ee mfalme, ni gumu. Hakuna mtu anayeweza kukufunulia isipokuwa miungu peke yake ambayo haikai miongoni mwa wanaadamu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anachouliza mfalme ni kigumu mno. Hakuna yeyote awezaye kumfunulia mfalme isipokuwa miungu, nao hawaishi miongoni mwa wanadamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni neno la ajabu, hili analolitaka mfalme, wala hapana mwingine awezaye kumwonyesha mfalme neno hilo, ila miungu, wasio na kikao pamoja na wenye mwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo unalouliza, ee mfalme, ni gumu. Hakuna mtu anayeweza kukufunulia isipokuwa miungu peke yake ambayo haikai miongoni mwa wanaadamu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anachouliza mfalme ni kigumu mno. Hakuna ye yote awezaye kumfunulia mfalme isipokuwa miungu, nao hawaishi miongoni mwa wanadamu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anachouliza mfalme ni kigumu mno. Hakuna yeyote awezaye kumfunulia mfalme isipokuwa miungu, nao hawaishi miongoni mwa wanadamu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jambo hili, mfalme analolitaka, ni zito, tena hakuna mtu awezaye kulieleza mbele yake mfalme, ni miungu tu, lakini haikai kwetu sisi tulio wenye miili ya kimtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni neno la ajabu, hili analolitaka mfalme, wala hapana mwingine awezaye kumwonyesha mfalme neno hilo, ila miungu, wasio na kikao pamoja na wenye mwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo unalouliza, ee mufalme, ni gumu. Hakuna mutu anayeweza kukufunulia isipokuwa miungu peke yake ambayo haikai kati ya wanadamu.