Daniel 2:13 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, tangazo likaenea kuwa wenye hekima wote wauawe; Danieli na wenzake, nao pia wakatafutwa ili wauawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo amri ikatolewa ya kuwaua wenye hekima, nao watu wakatumwa kuwatafuta Danieli na rafiki zake ili wawaue.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ile amri ikatangazwa, na hao wenye hekima walikuwa karibu na kuuawa; watu wakamtafuta Danieli na wenzake ili wauawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, tangazo likaenea kuwa wenye hekima wote wauawe; Danieli na wenzake, nao pia wakatafutwa ili wauawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo amri ikatolewa ya kuwaua wenye hekima, nao watu wakatumwa kuwatafuta Danieli na rafiki zake ili wawaue.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo amri ikatolewa ya kuwaua wenye hekima, nao watu wakatumwa kuwatafuta Danieli na rafiki zake ili wawaue.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amri hiyo ya kuwaua wajuzi ilipokwisha kutoka, wakamtafuta naye Danieli na wenziwe, wauawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ile amri ikatangazwa, na hao wenye hekima walikuwa karibu na kuuawa; watu wakamtafuta Danieli na wenzake ili wauawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, tangazo likaenea kuwa wenye hekima wote wauawe; Danieli na wenzake, nao vilevile wakatafutwa kusudi wauawe.