Daniel 2:14 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Danieli, kwa tahadhari na busara, alimwendea Arioko, mkuu wa kikosi cha walinzi wa mfalme na ambaye alipewa jukumu la kuwaua wenye hekima wa Babuloni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Arioko, mkuu wa askari wa walinzi wa mfalme, alipokuwa ameenda kuwaua wenye hekima wa Babeli, Danieli akazungumza naye kwa hekima na busara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Danieli kwa busara na hadhari akamjibu Arioko, akida wa walinzi wa mfalme, aliyekuwa ametoka ili kuwaua wenye hekima wa Babeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Danieli, kwa tahadhari na busara, alimwendea Arioko, mkuu wa kikosi cha walinzi wa mfalme na ambaye alipewa jukumu la kuwaua wenye hekima wa Babuloni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Arioko, mkuu wa askari wa walinzi wa mfalme, alikuwa amekwenda kuwaua watu wenye hekima wa Babeli, Danieli akazungumza naye kwa hekima na busara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Arioko, mkuu wa askari wa walinzi wa mfalme, alikuwa amekwenda kuwaua watu wenye hekima wa Babeli, Danieli akazungumza naye kwa hekima na busara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Danieli alipotumia akili zake zenye werevu, akasema na Arioki aliyekuwa mkuu wa walinzi wa mfalme, naye alikuwa ametoka kwenda kuwaua wajuzi wa Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Danieli kwa busara na hadhari akamjibu Arioko, akida wa walinzi wa mfalme, aliyekuwa ametoka ili kuwaua wenye hekima wa Babeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, Danieli akasema na Arioki kwa uangalifu na hekima. Arioki alikuwa ni mukubwa wa waaskari walinzi wa mufalme ambaye alipewa amri ya kuwaua wenye hekima wa Babeli.