Daniel 2:17 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Danieli akarudi nyumbani, akawajulisha wenzake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Danieli akarudi nyumbani mwake na kuwaeleza rafiki zake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari kina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Danieli akarudi nyumbani, akawajulisha wenzake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Danieli akarudi nyumbani kwake na kuwaeleza rafiki zake Hanania, Meshaki na Azaria jambo hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Danieli akarudi nyumbani kwake na kuwaeleza rafiki zake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Danieli akaingia nyumbani mwake, akawajulisha wenziwe Hanania na Misaeli na Azaria hilo jambo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari kina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Danieli akarudi kwa nyumba, akawajulisha wenzake Hanania, Misaeli na Azaria jambo hilo.