Daniel 2:18 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaambia wamwombe Mungu wa mbinguni awaonee huruma kuhusu fumbo hilo, ili wao wasiangamie pamoja na wenye hekima wengine wa Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwasihi waombe rehema kutoka kwa Mungu wa mbinguni kuhusu siri hii, ili yeye na rafiki zake wasije wakauawa pamoja na wenye hekima wengine wa Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili waombe rehema kwa Mungu wa mbinguni kwa habari ya siri hiyo, ili kwamba Danieli na wenzake wasiangamizwe pamoja na wenye hekima wa Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaambia wamwombe Mungu wa mbinguni awaonee huruma kuhusu fumbo hilo, ili wao wasiangamie pamoja na wenye hekima wengine wa Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwasihi waombe rehema kutoka kwa Mungu wa mbingu kuhusu siri hii, ili yeye na rafiki zake wasije wakauawa pamoja na wenye hekima wengine wa Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwasihi waombe rehema kutoka kwa Mungu wa mbinguni kuhusu siri hii, ili yeye na rafiki zake wasije wakauawa pamoja na wenye hekima wengine wa Babeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wamwombe Mungu wa mbinguni, awahurumie kwa ajili ya hilo jambo lililofichika, Danieli na wenziwe wasiuawe pamoja na wajuzi wa Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili waombe rehema kwa Mungu wa mbinguni kwa habari ya siri hiyo, ili kwamba Danieli na wenzake wasiangamizwe pamoja na wenye hekima wa Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaambia wamwombe Mungu wa mbinguni awaonee huruma juu ya fumbo hilo, kusudi wao wasiangamie pamoja na wenye hekima wengine wa Babeli.