Daniel 2:20 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akasema, “Na litukuzwe milele na milele jina lake Mungu. Hekima na nguvu ni vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; hekima na uweza ni vyake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Danieli akajibu, akasema, Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza ni wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akasema, “Na litukuzwe milele na milele jina lake Mungu. Hekima na nguvu ni vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele, hekima na uweza ni vyake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; hekima na uweza ni vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Danieli alivyosema: Jina lake Mungu litukuzwe kale na kale! Kwani yeye ni mwenye ujuzi na uwezo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Danieli akajibu, akasema, Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza ni wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akasema: Jina la Mungu litukuzwe milele na milele. Hekima na nguvu ni vyake.