Daniel 2:22 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hufunua siri na mafumbo, ajua kilichoko gizani, mwanga wakaa kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hufunua siri na mambo yaliyofichika; anajua yale yaliyo gizani, nayo nuru hukaa kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hufunua siri na mafumbo, ajua kilichoko gizani, mwanga wakaa kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hufunua siri na mambo yaliyofichika, anajua yale yaliyo gizani, nuru hukaa kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hufunua siri na mambo yaliyofichika; anajua yale yaliyo gizani, nayo nuru hukaa kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye anayefunua yasiyochunguzika nayo yaliyofichwa. Anayajua yaliyomo gizani, nao mwanga unakaa kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anafunua siri na mafumbo, anajua kinachokuwa katika giza, mwangaza unakaa kwake.