Daniel 2:3 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Nebukadneza akawaambia, “Niliota ndoto, nayo inanipa wasiwasi, nami nataka nijulishwe tafsiri yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akawaambia, “Niliota ndoto inayonisumbua, nami nataka nijue maana yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akawaambia, Nimeota ndoto, na roho yangu imefadhaika hata niijue tafsiri yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Nebukadneza akawaambia, “Niliota ndoto, nayo inanipa wasiwasi, nami nataka nijulishwe tafsiri yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akawaambia, “Niliota ndoto inayonisumbua nami nataka nijue maana yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akawaambia, “Niliota ndoto inayonisumbua, nami nataka nijue maana yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaja, wakajipanga mbele yake mfalme. Mfalme akawaambia: Nimeota ndoto, roho yangu ikahangaika, ipate kuijua maana ya hiyo ndoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akawaambia, Nimeota ndoto, na roho yangu imefadhaika hata niijue tafsiri yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Nebukadneza akawaambia: Niliota ndoto, nayo inanipa wasiwasi, nami ninataka nijulishwe maana yake.