Daniel 2:32 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kichwa cha sanamu hiyo kilikuwa cha dhahabu safi, kifua chake na mikono yake vilikuwa vya fedha na tumbo lake na mapaja yake vilikuwa vya shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kichwa cha sanamu hiyo kilikuwa kimetengenezwa kwa dhahabu safi; kifua chake na mikono yake vilikuwa vya fedha; tumbo lake na mapaja yake vilikuwa vya shaba;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu safi; kifua chake na mikono yake ni ya fedha; tumbo lake na viuno vyake ni vya shaba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kichwa cha sanamu hiyo kilikuwa cha dhahabu safi, kifua chake na mikono yake vilikuwa vya fedha na tumbo lake na mapaja yake vilikuwa vya shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kichwa cha ile sanamu kilikuwa kimetengenezwa kwa dhahabu safi, kifua chake na mikono yake vilikuwa vya fedha, tumbo lake na mapaja yake vilikuwa vya shaba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kichwa cha ile sanamu kilikuwa kimetengenezwa kwa dhahabu safi, kifua chake na mikono yake vilikuwa vya fedha, tumbo lake na mapaja yake vilikuwa vya shaba,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hicho kinyago kichwa chake kilikuwa cha dhahabu tupu, kifua chake na mikono yake ilikuwa ya fedha, tumbo lake na viuno vyake vilikuwa vya shaba,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu safi; kifua chake na mikono yake ni ya fedha; tumbo lake na viuno vyake ni vya shaba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kichwa cha sanamu hiyo kilikuwa cha zahabu safi, kifua chake na mikono yake vilikuwa vya feza na tumbo lake na mapaja yake vilikuwa vya shaba.